Kitabu cha Yona ni kitabu ambacho kinaonyesha uvumilivu na rehema za Mungu. Mungu alimtuma Yona kupeleka ujumbe katika mji wa Ninawi. Lakini Yona hakutaka kufikisha ujumbe huo. Bonyeza hapo chini kusikilizia au kupakua historia ya Yona katika Kimbugwe.
Utangulizi wa Yona | Yona 1 | Yona 2 | Yona 3 | Yona 4