Kitabu cha Yona

Kitabu cha Yona ni kitabu ambacho kinaonyesha uvumilivu na rehema za Mungu. Mungu alimtuma Yona kupeleka ujumbe katika mji wa Ninawi. Lakini Yona hakutaka kufikisha ujumbe huo. Bonyeza hapo chini kusikilizia au kupakua historia ya Yona katika Kimbugwe.

Thumbnail image

Your encouragement is valuable to us

Your stories help make websites like this possible.